
Fountain Gate Academy na Fountain Gate Sports Academy Zaingia Makubaliano na Timu ya JKU Zanzibar
Fountain Gate Academy pamoja na Fountain Gate Sports Academy zimeingia makubaliano muhimu na timu ya Jeshi la Kulinda Uchumi (JKU) Zanzibar. Makubaliano haya yanajikita katika maendeleo ya michezo na kuinua vipaji vya vijana kutoka Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Makubaliano haya yanajumuisha: Uzinduzi wa jezi mpya ya JKU yenye nembo ya Fountain Gate Schools kama…